
Chuo Kikuu cha Theolojia Mtandaoni #1
Chuo Kikuu cha Theolojia Mtandaoni 😊 Baada ya muda nikajiridhisha kwa namna ya kibinadamu inawezekana hizo ndoto na maono zilikuwa ni “ndoto tu”; huenda yalikuwa ni mawazo ya utotoni; huenda nilikuwa bwana ndoto (Unakumbuka Yusufu mwana wa Yakobo alivyotungiwa jina). Hatimaye nikaanza kuelekea uelekeo wangu ninaouelewa mwenyewe. Nitajenga ndoto ya kuwa mwanataaluma nguli – Profesa […]