Chuo Kikuu cha Theolojia Mtandaoni.
Swali #3.
“Mpinga Kristo si tu aliye kinyume cha Kristo bali zaidi anayejifananisha na Kristo ili awe mbadala wa Kristo na mahala Kristo na hatimaye kinyume cha Kristo.”
Kwa kutumia namna ya ulinganifu wa majaribu ya Adamu wa kwanza (Mwanzo 3) na Adamu wa pili (Mathayo 4) bainisha mbinu hiyo ya mjaribu huku ukielezea uelewa uliofifishwa wa sasa ndani ya kanisa kuhusu mbinu hii hatari ya Mpinga Kristo.
(Alama 30)